tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post3656174395692588301..comments2024-03-06T08:24:59.824+03:00Comments on Moslems to Jesus: Je, Muhammad Ametabiriwa Kwenye Biblia? - Sehemu ya IJames Johnhttp://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-24447965796842752192022-09-10T11:59:21.742+03:002022-09-10T11:59:21.742+03:00Dini ya ukweli mbele ya mungu n uislamu nadhani kw...Dini ya ukweli mbele ya mungu n uislamu nadhani kwa mujibu ya quran,kuthibitisha haya nathani utapata maneno kama haya katika bibilia inayosema dini ya ukweli mble ya mungu n ukiristoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-4250384132290650712021-03-21T23:08:49.047+03:002021-03-21T23:08:49.047+03:00Tafuteni imani ya kweli Kama nabii Ibrahim rehma n...Tafuteni imani ya kweli Kama nabii Ibrahim rehma na Aman zimfikie. Maana watu mnaakili vitabu macho na vifua lakini hamfikiriii. Dini ya Ibrahim Ni mungu mmoja asie na mshirika Wala mfano wake .. tambua hilo ndugu utasalimikaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/13935656853047040240noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-38946304750174296752019-09-05T05:55:20.656+03:002019-09-05T05:55:20.656+03:00BarikiwaBarikiwaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/17624358719354871514noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-76325068947093776632015-08-05T09:46:05.383+03:002015-08-05T09:46:05.383+03:00Mimi nilikuwa nataka kujuwa kuwa kwa nini kabla ya...Mimi nilikuwa nataka kujuwa kuwa kwa nini kabla ya ibada kuanza mnakula mkate au muumini wa kikiristo wanalishwa mikate na hii mikate imetengenezwa au imeokwa na nini? ukisoma ezekieli 4- 9:11. kwa nini mikate iokwe kwenye mashonde (kinyesi) cha binaadamu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-17668992484827952892013-04-18T20:26:43.311+03:002013-04-18T20:26:43.311+03:00Mr. mtu anapokuwa mbishi wa kumwamini mungu akabid...Mr. mtu anapokuwa mbishi wa kumwamini mungu akabidhiwi shetani, kwa sababu, shetani kazi yake ni kuwapoteza watu katika njia iliyonyooka ya mungu. Neno la mungu ndio pekee linalontoa mtu katika giza na kumtia katika nuru. Ili kujua hilo, ndio maana leo hii wapo watu wanaompinga mungu na kumfanya binadamu mwenzao kuwa kinga yao na mungu wao hali wakijua kabisa ya kwamba alikuwa na kila dalili ya ubinadamu.Hii ni kazi ya shetani ambae Paulo alikuwa anashirikiananae.ibraburahttps://www.blogger.com/profile/05753298690356521308noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-84405219709459911472013-01-28T15:02:15.342+03:002013-01-28T15:02:15.342+03:00Shalom Ibra,
Asante kwa kutembelea blog hii. Naam...Shalom Ibra,

Asante kwa kutembelea blog hii. Naamini umejifunza mengi, nami pia ninatega masikio ili kujifunza kutoka kwako na kueleweshana mambo mablimbali.

Kuhusu swali lako ya kwamba ni Injili gani ambayo mimi naikubali, jibu ni kuwa naamini Injili ya Yesu Kristo. Injili maana yake ni "Habari Njema" za Ufalme wa Mungu. Na ndani ya Injili yamo pia maneno yote aliyosema shujaa wa imani, Mtume Paulo.

Kuhusiana na swali kwamba Paulo alikuwa anashirikiana na shetani kuhubiri Injili, nadhani tusome kwanza maneno hayo kutoka kwenye Biblia. Paulo alimwandikia Timotheo kwamba:

Mwanangu Timotheo, nakukabidhi agizo hilo liwe akiba, kwa ajili ya maneno ya unabii yaliyotangulia juu yako, ili katika hayo uvipige vile vita vizuri; uwe mwenye imani na dhamiri njema, ambayo wengine wameisukumia mbali, wakaangamia kwa habari ya Imani. Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu. (1 Timotheo 1:18-20.

Katika juhudi kubwa ya kuhubiri Injili ya Bwana Yesu, Paulo alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa watu waliokuwa wanapotosha kwa makusudi Injili hiyo ili kuwafanya watu wengine wasimwamini Yesu. Mojawapo kati ya wapinzani hao walikuwa ni Himenayo na Iskanda. Kwa sababu ya ukaidi wao, ndipo Paulo akasema amemkabidhi shetani ili yawakute mambo mabaya wapate kutubu na kuacha upotoshaji wao. Hawakukabidhiwa kwa shetani ili wahubiriwe Injili. Shetani hana Injili ndani yake, kwa hiyo hawezi kuihubiri.

Lakini hebu angalia pia andiko hili:
Yakini habari imeenea ya kuwa kwenu kuna zinaa, na zinaa ya namna isiyokuwako hata katika Mataifa, kwamba mtu awe na mke wa babaye. Nanyi mwajivuna, wala hamkusikitika, ili kwamba aondolewe miongoni mwenu huyo aliyetenda jambo hilo. Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo. Katika jina la Bwana wetu Yesu, ninyi mkiwa mmekusanyika pamoja na roho yangu, pamoja na uweza wa Bwana wetu Yesu; kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu. (1 Wakorintho 5:1-5)

Hapa Paulo alikuwa anawaandikia Wakorintho.
Nadhani unaona wazi kuwa Paulo siku zote alikuwa yuko kinyume na dhambi, jambo ambalo hata Bwana Yesu analisisitiza. lakini kutokana na ukaidi wa baadhi ya watu, inabidi apate mapigo ya shetani ndipo anaweza kugeuka na kusema: Bwana Yesu nisamehe na unisaidie.

Kwani Ibra, wewe unadhani shetani ameumbwa kwa malengo gani? Ni kwa lengo la kutusumbua ili tuweze kumkumbuka Mungu. Bila hivyo tunajisahau kwenye dhambi na kulala fofofo. kisha mwisho wake ni nini? NI JEHANAMU YA MOTO.

Iko asilimia kubwa sana ya watu ambao wanamjua na kumwamini Mungu kwa sababu matatizo ndiyo yaliwaleta kwa Mungu. Na matatizo yanatoka wapi? yanatoka kwa shetani. lakini wanapoamua kuja kwa Yesu, haina maana kwamba shetani kawahubiria Injili. Hapana.

Kwa hiyo rafiki yangu Ibra, Paulo hakushirikiana na shetani kuhubiri Injili hata kidogo.

Mungu akubariki.
Karibu tena na tena.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-6668175537580527072013-01-28T00:28:35.344+03:002013-01-28T00:28:35.344+03:00Ndugu James
Unaweza kunifafanulia ni injili gani w...Ndugu James
Unaweza kunifafanulia ni injili gani wewe unaikubali, na ni muongozo wako katika kumuelekea mungu wako, kati ya ile aliyoacha yesu kwa wanafunzi wake kumi na moja, na kuwaagiza wakahubiri kwa watu wote, na ile ya paulo ambae kwa kinywa chake, anadai kapewa na yesu kwa ajili ya watu wasiotahiriwa? Hivi ni kweli kwamba, paulo alikuwa anashirikiana na shetani katika kuhubiri injili? 1timoteo 1:20. Nataka kujua ibraburahttps://www.blogger.com/profile/05753298690356521308noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-67718964355904305442013-01-15T22:38:53.684+03:002013-01-15T22:38:53.684+03:00shalom rafiki. Umesoma na sehemu ya pili ya makala...shalom rafiki. Umesoma na sehemu ya pili ya makala haya? Upinzani katika imani utaendelea kuwapo. cha msingi tuzidi kuomba kwa ajili yetu na wote wasiomjua au wasiomkubali Kristo. Ni suala la wakati tu, Injili ya Yesu ni lazima itashinda.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-36604855068698563842013-01-15T12:02:02.160+03:002013-01-15T12:02:02.160+03:00nashangaa watu mnahanagikia ulinganifu wa imani. K...nashangaa watu mnahanagikia ulinganifu wa imani. Kama korani ingechambuliwa kama waislamu walivyohuru kuzungumzia Biblia Takatifu, nadhani tungeona mambo ya ajabu na waislamu mngekasirika kama aya za rushdi.Anonymousnoreply@blogger.com