tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post8462964162969313226..comments2024-03-06T08:24:59.824+03:00Comments on Moslems to Jesus: Mwanamke wa Kiislamu Kutoka Palestina Aliyetokewa na Bwana Yesu na Sasa AmeokokaJames Johnhttp://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-39921536258342801342013-05-09T08:41:39.486+03:002013-05-09T08:41:39.486+03:00Nakushukuru ndugu yangu kwa maneno yako ya kutia m...Nakushukuru ndugu yangu kwa maneno yako ya kutia moyo sana. Mungu azidi kukubariki na kufungua moyo wako zaidi na zaidi. Asante kwa sala yako pia.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-88494314778955856072013-05-09T00:43:43.614+03:002013-05-09T00:43:43.614+03:00Kaka James, Pole sana kwa kazi nzito ya kueneza in...Kaka James, Pole sana kwa kazi nzito ya kueneza injili na kuwavuta watu wengi kwa Yesu. Binafsi navutiwa sana na tafakari zako na huwa nikizisoma huwa napata nuru nzuri ya rohoni na naona kubarikiwa sana. Mungu azidi kukujaza kila aina ya neema na aendelee kufanya kazi ndani mwako ili yale aliyopanga kufanyika kupitia wewe yatimilike sawasawa na mapenzi yake. Ubarikiwe sana kaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-31435431350285237472013-05-08T12:19:10.509+03:002013-05-08T12:19:10.509+03:00Ibra rafiki yangu, waliopagawa hawako hivyo. Tazam...Ibra rafiki yangu, waliopagawa hawako hivyo. Tazama hapa utaona mfano wa aliyepagawa: http://ajmacdonaldjr.wordpress.com/2012/05/28/demonic-activity-in-the-modern-world/
Kuhusu watu kuingia kwenye uislamu, hilo sishangai hata kidogo. Watu wataendelea kuingia na kutoka kila mahali. Kuingia au kutoka si jambo la muhimu sana; cha muhimu umeingia wapi na mwisho wako ni nini? Yeyote anayetoka kwa Yesu na kwenda kuingia kwa mwingine anapotea HAKIKA. Mbingu ni za Yesu, sasa ukimkataa mwisho wa safari utaenda kwa nani?

Na kuhusu kusadiki au kutowasadiki manabii, Bwana Yesu alisema hivi:

BASI HAPO MTAKAPOLIONA CHUKIZO LA UHARIBIFU, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.
Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!
Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.
Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele.
BASI WAKIWAAMBIA, YUKO JANGWANI, MSITOKE; YUMO NYUMBANI, MSISADIKI.
Kwa maana kama vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. (Mat 24:15-27)

Sasa nakuuliza hivi, Ibra, chukizo la uharibifu limeshaonekana? Wewe unaonyesha kana kwamba kila anayesema miujiza ya Yesu, kwa kuwa kwa akili za kibinadamu haieleweki, basi ni unabii wa uongo. Sivyo. Bwana Yesu yuko kazini usiku na mchana. Anatenda mambo makubwa sasa hivi ambayo kwa akili za kibinadamu huwezi kuyakubali. Mungu wa Biblia si Mungu anayeahidi na kusema, “Amini tu utajua siku ya mwisho.” Mungu wa Biblia anasema na kuishi na wanawe sasa hivi; anashughulika na mahitaji ya sasa pia – siyo ya baadaye peke yake.
James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-29714113861810760132013-05-05T00:21:22.623+03:002013-05-05T00:21:22.623+03:00''Na wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kr...''Na wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule, msisadiki;''
Haya, ni maneno ya yesu mwenyewe. Huyo mwanamke, kapagawa. Hajui alitendalo. Halafu, wakristo walioingia kwenye uislaam hawana hesabu.
Hivi wewe ndugu yangu, kwa nini haushangai? Maana, karibu mataifa yote yanayoizunguka israel ni ya kiislam! ibraburahttps://www.blogger.com/profile/05753298690356521308noreply@blogger.com