tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post8721787479776020232..comments2024-03-06T08:24:59.824+03:00Comments on Moslems to Jesus: Je, Biblia Ina Vitabu Vingapi?James Johnhttp://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comBlogger38125tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-23672807318738755412019-03-03T22:37:12.673+03:002019-03-03T22:37:12.673+03:00Msikubal kubishana na wajinga, kwa maana kuna waji...Msikubal kubishana na wajinga, kwa maana kuna wajinga wengne hawajui na hawajui kwamb hawajui na hawatak kutaka kujua. Je, mwerevu ukibishan na mjinga hipi itakuwa tofaut ya mjinga na mwerevu? Ndugu zangu tafuten kuelewa na si kubishan. Tumsifu yesukristoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06287820727682590703noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-64414325689590123412016-08-21T09:33:35.209+03:002016-08-21T09:33:35.209+03:00milele aminamilele aminaklauss Maleyhttps://www.blogger.com/profile/14167818256891605818noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-53820939974470054792016-08-20T16:22:57.690+03:002016-08-20T16:22:57.690+03:00YESU NI BWANAYESU NI BWANAklauss Maleyhttps://www.blogger.com/profile/14167818256891605818noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-45812644772312692842014-08-18T09:28:24.170+03:002014-08-18T09:28:24.170+03:00Kwa aliye uliza kuonekana kwa Musa na Eliya kunako...Kwa aliye uliza kuonekana kwa Musa na Eliya kunakotajwa katika Math 17 wakati biblia imetaja wafu hawana ijara tena:

KWA UFUPI: Tukio hili limetajwa na waandishi watatu yaani Mathayo, Marko na Luka, kila mmoja kwa ufahamu na ufafanuzi wake, Luka katika 9:31 kuna kitu anaongezea pale; “walioonekana katika utukufu, wakanena habari za kufariki kwake atakakotimiza Yerusalemu”.
Tukuo lile Ilikuwa kiwakilishi cha cha kitakachofuata baada ya hitimisho la safari ya ukombozi wa mwanadamu. Ebr 9:28 “kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu”.

Alionekana katika utukufu - aliwakilisha utukufu atakaokuwa nao atakapokuja mara ya pili ambao ni utukufu wa baba yake na malaika watakatifu, Math 25:31.

Musa - alitokea kuwakilisha watu wenye haki watakaofufuka katika ufufuo wa kwanza. 1 kor 15:52
Eliya - aliyepewa hadhi ya kutoonja mauti, akachukuliwa mbinguni bila kufa, alikuja kuwakilisha watakatifu watakaotwaliwa wakati wa kurudi kwake yesu mara ya pili bila kuonja mauti 1 kor 15:51 1Thes 4:15

NB: Lakini ujue kuwa japo Musa alipitia mauti hayuko kaburini akisubiri kufufuliwa, itakumbukwa kuwa tangu mapema Musa alijua jina lake limeandikwa katika kitabu cha uzima Kut 32;32, Yesu mwenyewe (ambaye wakati mwingine hutajwa kama Mikael- malaika mkuu Dan 12:1, Uf 12:7) alishamtoa kaburini, yuda 1:9

makongonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-20539152649949933792014-08-13T14:45:59.358+03:002014-08-13T14:45:59.358+03:00Mbona mmeshindwa kukikataa kitabu cha ufunuo wa Yo...Mbona mmeshindwa kukikataa kitabu cha ufunuo wa Yohana. Ebu Soma basi ufunuo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-11037890285065066402014-07-19T14:11:45.025+03:002014-07-19T14:11:45.025+03:00Shalom, shalom ndugu
Asante kwa kutembelea blog hi...Shalom, shalom ndugu
Asante kwa kutembelea blog hii na kutoa maoni yako.
Umeuliza kuhusu kukutumia masomo,

Kutokana na ufinyu wa muda na wingi wa majukumu, sitaahidi kukutumia masomo haya kwa haraka maana inabidi niyacopy yote na kuyageuza kuwa file la pdf kwa mfano.

Ila nafikiri wewe nikumbushe tena tu kama ukiona muda umepita. Nitajitahidi kufanya hivyo. Lakini inabidi unitumie e-mail yako. Unaweza kuniandikia ujumbe kwenye WRITE TO BLOGGER FORM iliyo juu kulia kwa blog hii ---- au kupitia: ijuekweli77@yahoo.co.ukJames Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-90951447346741314152014-07-18T17:17:56.960+03:002014-07-18T17:17:56.960+03:00Hellow John nimefurahishwa na mtirirko wa uandishi...Hellow John nimefurahishwa na mtirirko wa uandishi wako pamoja na kunifanya nibaki katika kweli huru kwa kila aaminiye. Nakupongeza kwa mtazamo wangu kuueleza umma haya mambo kwani tuliowengi wengi huwa hatuna muda wa kufanya jinsi ulivyoonyesha na kufafanua ukweli. Nataka kukushauri na kuomba msaada kwako kuwa unaweza kunitumia masomo yako katika blog hii kwa ajili ya kujisomea na kwa ajili kuongeza imani katika maisha yangu kwani bwana ndie mkombozi wa kila mmoja kwa aaminiye kweli na uzima? naomba kuna maswali utanijibu in box samahaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-47067283881256459672014-07-06T10:46:52.606+03:002014-07-06T10:46:52.606+03:00mmh!mmh!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-22784765045558451632014-07-06T10:46:39.484+03:002014-07-06T10:46:39.484+03:00mmh!mmh!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-9327711574994481772014-05-28T13:11:24.713+03:002014-05-28T13:11:24.713+03:00+MUNGU SAIDIA SANA, Dunia inaozeshwa na watu kama ...+MUNGU SAIDIA SANA, Dunia inaozeshwa na watu kama hawa, waliopandikizwa sumu na yule mwovu, wale ambao uhayawani unawasonga, wamechanagnyikiwa, au labda kichwani upstairs zao zina shida, wengine husoma sana na kuchanganyikiwa kama Padre wa ujerumani aliyechanganyikiwa, SIKU MOJA MUNGU ATAHUKUMU, Tutaongea sana siku ya mwisho Kristo atakuja atauliza je mmelifuata tuna imani bado?, na atauliza kama kweli tuliilinda imani tuliyoachiwa na mitume, watajidai sana, wakati biblia iliandaliwa na Mababa wa Kanisa Mama, Kanisa la Mwanzo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, biblia ya Kristo haikuja karne ya 16 wakati wa padre fulani, wala siyo wakati wa karne ya 18 wakati wa mama fulani au william huko marekani, bali ni tangu karne za kwanza!, Padre Jerome kwa kutumwa na Kanisa aliandaa vitabu hivyo, kwa hiyo kaka jipange usianganywe?PRAISE TO CHRISThttps://www.blogger.com/profile/10244419441942732677noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-76730225906713947952014-04-11T17:31:54.480+03:002014-04-11T17:31:54.480+03:00Ndugu yangu James tafakari kwako ni ngumu sana na ...Ndugu yangu James tafakari kwako ni ngumu sana na sipendi kulumbana katika Imani, cha muhimu amini unachoamini, usizani Mapadri kusomea Upadri zaidi ya miaka saba ni jambo dogo. Ila nakuambia ujue kuwa Wakristu Wakatoliki hawakatazwi kusoma Biblia hata siku moja. Tangia nimezaliwa mpaka leo ninaishi kwa kusoma Biblia. Kanisani tunaenda kupewa tafakari tu ya neno la siku na tafakari zaidi ni wewe na nafsi yako. Sitaki kuzungumza chochote kuhusu walokole bt nakusihi usimhubiri Yesu kwa kujiona mwema kama unavyodai wewe kwa maneno yako haya " Kwa nini katika hali ya kawaida tu mlokole anapofanya kosa anashambuliwa ZAIDI kuliko mtu mwingine anapofanya kosa lilelile?

Japokuwa washambuliaji hawatakiri waziwazi, lakini mioyoni mwao wanajua fika kwamba ulokole (wokovu) ni maisha tofauti kabisa na dini zilizozoeleka au zenye majina makubwa. Ndiyo maana utasikia:
· Yaani hata walokole nao wanapigana?
· Mlokole gani huyo analewa pombe?
· Mlokole atakuwa huyo? Mbona kanidhulumu fedha zangu?, n.k.

Na wala hutaona kwenye magazeti wameandika: Mkatoliki/Mlutheri/ Mwislamu kakamatwa ugoni! Hiyo si habari inayoweza kuuza gazeti. Lakini je, huawahi kusoma: Mlokole kashikwa ugoni? Hiyo ndiyo habari. Ni kwa nini? Yesu angekuwa anahubiri kama nyinyi watu wangemkataa zaidi.Samahani lakini kama nimekuuzi, Na kuhusu Bikira Maria hatumwabudu ila tunaheshimu heshima yake kama Mama aliyemzaa mkombozi wetu Yesu, Pia Rozari unayosema haipo kwenye Biblia ni kweli kabisa, lakini sisi tunasali Rozari kufuata waliotutangulia maana walijibiwa maombi yao. Tena nakuambia Rozari ina nguvu sana ya Mungu, mimi mwenyewe nimeshuhudia hilo. Mungu akubariki sana kwa kazi yako lakini usiongee vitu usivyovijua unakuwa unakufuruAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-16256643329293237842014-04-11T11:43:51.846+03:002014-04-11T11:43:51.846+03:00amen Henry. ubarikiwe na Bwana na Nuru yake uendel...amen Henry. ubarikiwe na Bwana na Nuru yake uendelee kuangaza kwako (maana Neno lake ndiyo taa ya miguu yetu katika safari hii tuliyo nayo).James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-58654981793640351862014-04-10T18:11:01.021+03:002014-04-10T18:11:01.021+03:00Umeniuliza kuhusu Musa na Eliya; nikisoma kuhusian...Umeniuliza kuhusu Musa na Eliya; nikisoma kuhusiana na wao, sioni kama walitokea huku ili kuja kunenepesha "akaunti" zao za mbinguni.

Kumbuka kuwa, ninaposema hawana ijara, simaanishi kuwa hawako hai. Kufa ni kuvua tu hili gwanda la nyama na mifupa na kuvikwa mwili mwingine wa kiroho - na bado mtu anaendelea kuwa hai kabisa - tena zaidi ya sasa.

Lakini kutokuwa na ijara inamaanisha tu kwamba kile ulichovuna katika maisha yako hapa duniani hakibadiliki tena kuanzia pale unapokufa. Na ndiyo maana hata fundisho la watu kuwa toharani ni la uongo na kuwapa watu matumaini ya upotovu na ya hatari.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-49665191729031784752014-04-10T17:57:27.834+03:002014-04-10T17:57:27.834+03:00Vivyo hivyo, huwezi ukamwombea mfu na akaingiziwa ...Vivyo hivyo, huwezi ukamwombea mfu na akaingiziwa malipo kwenye akaunti yake ya mbinguni. UKIFA AKAUNTI HIYO INAFUNGWA!!James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-67143485358842464142014-04-10T17:56:29.961+03:002014-04-10T17:56:29.961+03:00ijara maana yake mshahara au malipo. Hii ni kusema...ijara maana yake mshahara au malipo. Hii ni kusema kuwa sisi tulio hai tukiamini au tukiomba, Mungu "anatulipa" yaani anatujibu. Bwana Yesu anasema: Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo. (Ufu 22:12).

Hii ina maana anakuja kulipa ujira (au ijara) kwa YALE YALIYOTENDWA NA MTU ANGALI HAI, SIO AKIWA AMESHAKUFA. MFU HANA IJARA TENA!!

Yaani, mfu hawezi akaomba akakuombea akajibiwa. YESU HANA MSHAHARA/MALIPO/IJARA/UJIRA KWA AJILI YA WAFU. James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-49074763598626836142014-04-09T21:34:04.546+03:002014-04-09T21:34:04.546+03:00Kwanza ningependa kujua maana ya IJARAKwanza ningependa kujua maana ya IJARAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-779004336786671272014-04-09T21:10:29.591+03:002014-04-09T21:10:29.591+03:00Kwa mfano, fundisho la kwamba Bikira Maria ni mwom...Kwa mfano, fundisho la kwamba Bikira Maria ni mwombezi wetu; au kwamba watakatifu (yaani wafu) wanaweza kutuombea ni kinyume kabisa na maandiko ambayo tayari yamo kwenye Biblia:

(Mhu 9:5) kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala HAWANA IJARA TENA; maana kumbukumbu lao limesahauliwa. Endelea mstari wa sita "Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lolote LILILOFANYIKA chini ya jua" Mathayo 17 kuanzia mstari wa kwanza pale hadi wa nne tunaona Musa na Elia wakimtokea Yesu. Ngoja nikuulize swali, Kama mhubiri isemavyo "HAWANA IJIRA TENA" kutokana na huo mfano unasemaje hapo??? Na kuhusu Bikira Maria nitakuulizaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-81888723103864478402014-04-09T16:50:05.169+03:002014-04-09T16:50:05.169+03:00Tumsifu Yesu Kristo ndugu yangu. Ni kweli mimi ni ...Tumsifu Yesu Kristo ndugu yangu. Ni kweli mimi ni mlokole. Ninaamini kabisa wako wakatoliki wengi watakaoingia mbinguni kwa Bwana Yesu; na ninaamini wako walokole wengi watakaoingia jehanamu.

Pia nakubaliana kabisa na wewe kuwa yako mambo mengi yanayofundishwa kwenye makanisa ya wokovu ambayo hayajaandikwa kwenye Biblia.

Mtazamo wangu hata hivyo (japo huenda nimekosea bila kujua na nitashukuru ukinisahihisha) ni huu: Kama kuna jambo ambalo liko ndani ya Biblia TAYARI halafu akaja mtu anafundisha jambo ambalo: 1. haliko kwenye Biblia 2. Linapingana na jambo lililoko kwenye Biblia, basi, fundisho hilo ni la uongo na halitakiwi kuaminiwa.

Kwa mfano, fundisho la kwamba Bikira Maria ni mwombezi wetu; au kwamba watakatifu (yaani wafu) wanaweza kutuombea ni kinyume kabisa na maandiko ambayo tayari yamo kwenye Biblia:

(Mhu 9:5) kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala HAWANA IJARA TENA; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.

(1Tim 2:5) Kwa sababu Mungu ni mmoja, NA MPATANISHI KATI YA MUNGU NA WANADAMU NI MMOJA, Mwanadamu KRISTO YESU.

Lakini kuna mambo ambayo hayajatajwa kwenye Biblia, yanafundishwa na hayaleti upinzani wowote na Biblia; na ni mazuri. Je, kuna tatizo kuhusu hayo? Mimi nadhani hakuna.

Kwa msingi huu ninaousema, hata kama kuna makanisa ya kilokole ambayo yanafundisha mambo yaliyo kinyume na Biblia, ni kosa vilevile. Mimi sitetei ulokole au kupinga ukatoliki. Mimi sikubaliani na mafundisho ambayo kiukweli ni potofu.

Ubarikiwe na Bwana
James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-64347903951868084242014-04-09T02:22:22.889+03:002014-04-09T02:22:22.889+03:00Ndugu yangu James umekuwa mwalimu mzuli sana katik...Ndugu yangu James umekuwa mwalimu mzuli sana katika kufundisha watu, lakini neno la Mungu linatuonya kujipiga kifua. Mimi ni Mkatoliki ila nazani nawe ni mlokole kama sijakosea. Ningependa kujua ina maana yote mnayofanya katika Ibada yameandikwa kwenye Biblia??????
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-7098505063997702152014-04-08T00:04:18.750+03:002014-04-08T00:04:18.750+03:00Kaka James, nashukuru kwa kunitia moyo katika safa...Kaka James, nashukuru kwa kunitia moyo katika safari ya kuuendea ukweli na uzima. naomba usinisahau kila siku ya maombi yako, uiombee familia yangu tafadhali ili Mungu azidi kutuongoza kwa neema zake. Hakika katika kusimamia ukweli changamoto ni nyingi na ndiomaana nakuomba uniombee/utuombee ili Yesu atuongoze katika ile kweli.

Pia katika sala zako, naomba uwakumbuke wakatoliki wote na wale wote wanaoamini ktk mafundisho ya upotoshwaji bila kujisumbua kutafuta ukweli, ni kama wamefungwa na wanaridhika na kila wanachoambiwa. Naamini sala na maombi pekee ndio yenye uwezo wa kuzifungua roho zilizofungwa.

Mungu akubariki sana kaka James kwa kueneza injili yake kwa watu hasa wale ambao bado hawajamjua vizuri.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07397129819148214075noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-54119428439117913752014-04-07T07:58:16.760+03:002014-04-07T07:58:16.760+03:00Milele amina Henry. Ashukuriwe sana Bwana Yesu na ...Milele amina Henry. Ashukuriwe sana Bwana Yesu na Roho Mtakatifu kwa kukupa mwanga wa Injili wa ajabu namna hii. Mambo uliyoyasema humu ni makubwa sana kiasi kwamba hata sina cha kuongezea bali Neno hilo ambalo Bwana ameweka ndani yako lizidi kukua na kuzidi hadi utimilifu wa Kristo.

Ni kweli kabisa KATIBA YETU NI BIBLIA. Kama jambo halimo humo na kuna mtu analifundisha, basi hatuna kabisa sababu ya kulikubali. Ni hatari sana kwetu kuruhusu mafundisho yaliyo nje ya Biblia kuingia mioyoni mwetu.

Ubarukiwe sana Henry.
Endelea kusonga mbele katika Neno/katika Kristo.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-55580912648556175492014-04-07T00:58:29.105+03:002014-04-07T00:58:29.105+03:00Kaka James, nashukuru sana kwa kuendelea kutoa eli...Kaka James, nashukuru sana kwa kuendelea kutoa elimu sahihi kwa roho nyingi zilizopotea. kimsingi mambo mengi sana uliyoyaandika humu ni ya msingi na yana ukweli. Mimi mwenyewe ni mkatoliki toka kuzaliwa, nikimaanisha nimezaliwa kwenye familia ya kikatoliki na kukulia humo. ukweli ni kwamba familia nyingi za kikatoliki hawasomi Bibllia takatifu na kuitafakari kwa undani; kwa sababu ya malezi ndani ya kanisa wengi tumezoea kulishwa tu kama ulivyo sema na huo ndio ukweli; wengi tunaamini kila kitu kilichoelekezwa kwetu toka juu kwa kisingizio kuwa hili limetoka juu na hivyo hakuna mwenye haki ya kuhoji chochote zaidi ya kuichukua kama ilivyo. Namshukuru sana Mungu kwamba amenipa shauku ya kutaka kufahamu mambo kwa undani na kujua ukweli, kwani hata neno linasema tuijue ile kweli na kweli ndiyo itakayotuweka huru na si vinginevyo. katika kutafuta ukweli, nimekuja kugundua mengi sana na mengi bado nagundua hata kupita blog hii, namshukuru Mungu-nimefikia uamuzi ambao bado naendelea kumwomba Mungu aniongoze sawa sawa kuwa nitasimama katika neno la Mungu peke yake yaani Biblia, habari ya mapokeo, hayo yaliandikwa na mwanadamu kwa malengo na madhumuni yao wenyewe, na pengine ndio mpango wa shetani kama ulivyotoa angalizo.Napenda kumshauri huyo anonymous kuwa asipende kushikilia kila kitu kama kilivyo eti kwa sababu ameyakuta hivyo, Mungu katupa akili, utashi, uelewa na ujuzi wa kuhoji mambo-namshauri asiridhike na alichonacho bali apende kusoma, afanye tafiti kuhusu kile anachoamini kama kweli ni mpango wa Mungu-Yesu alisema, "Mimi ndimi njia, kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi" na ndivyo ilivyo, hakudelegate power kuwa tukiona kwakwe inakuwa ngumu tuombe kupitia kwa mama yake au kwa wafu (ambao wanatambulika kama watakatifu). Huo si mpango wa Mungu, na siamini kuwa maombi yangu yanaweza kufika kwa Mungu kupita kwao bali kwa kupitia kwa Yesu pekee. Hayo mambo mengine ni mpango wa shetani na kwa sababu wakatoliki wengi sana hawapendi kulisoma neno la Mungu na kutafakari na kuomba msaada wa roho Mtakatifu awaongoze, wengi wamekuwa wakishikilia na kuamini hicho wanachoamini kwa sababu ndivyo walivyovikuta na hakupaswi kuwa na marekebisho. ni wakati wa kumtafuta Yesu kwa nguvu zetu zote, kwa akili zetu zote na kwa utashi wetu wote, tuache kuamini kwa mazoea bali tutafute maarifa maana neno la Mungu lasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ina maana wengi hawapendi kusoma, kutafakari, na kuhoji mambo kwa msaada wa Roho wa Mungu kama kweli wanachoamini kimetoka kwa Mungu au la. Mimi Binafsi Bikira Maria namheshimu kama mama wa mwokozi wangu Yesu, na ni mama aliyepewa heshima kubwa sana na Mungu lakini nachelea kusema kuwa hakuna popote palipoandikwa kuwa tuelekeze maombi yetu kwa Mungu kupita yeye. labda ndugu yangu huyu aje na ushahidi kamili kuhusu hili la kuonesha kuwa tunapaswa kuelekeza maombi yetu kwa Mungu kupitia wafu. Anachoeleza kaka James, namuunga mkono, si usengejaji bali ni kunyoosha ukweli na kutoa ukakasi ambao umetutanda kwa kipindi kirefu sana na bado tunaendelea kungangania.wokovu ni hapa duniani na Mungu anapendezwa zaidi na watakatifu waishio duniani neno la Mungu lasema hivyo. maana yake nini; usitegemee ukaishi maisha ya upotevu hapa duniani alafu ukifa utegemee utaombewa na walio hai ili usamehewe dhambi, kwa uelewa wangu hili si sahihi kutokana na neno la Mungu linavyoelekeza. Ukishakufa ndio umeondoka kama ulivyo na hakuna nafasi tena ya kubadilika, na ndio maana Yesu alipokuwa anaeleza habari ya tajiri na lazaro; aya moja inasema tajiri baada ya kuona mateso yanakuwa makali kule jehanam, alitamanni ndugu zake wapate habari kuhusu alipo kuwa waishi maisha mazuri ya kumpendeza Mungu wasije wakaishia kama wao,Yesu anatuambia nini hapa; anatueleza kuwa ukifa hakuna nafasi ya kubadilika na kuwa na hali tofauti na ulivyokufa, kama ulikufa mdhambi inabaki hivyo, kama ulikufa mtakatifu inabaki hivyo.nafasi pekee ya kubadilika na kujiweka nafasi ya kuokoka ni hapa hapa duniani tungali hai. ukishakufa huna nafasi hiyo tena,

Tumsifu Yesu Kristu.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07397129819148214075noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-23059764081368861262014-03-17T17:40:30.505+03:002014-03-17T17:40:30.505+03:00Unachosema kuhusu Bikira Maria kubarikiwa kuliko w...Unachosema kuhusu Bikira Maria kubarikiwa kuliko wanawake wote hilo ni kweli kabisa maana hata Biblia inasema hivyo kama ulivyosema. Na hiyo ndiyo kanuni ya msingi ya kupima roho. Si tumeambiwa tusiamini kila roho bali tuzijaribu kwanza? Unajaribuje sasa? Unajaribu kwa kuangalia kama inaendana an Biblia.

Sasa, Kanisa Katoliki linasema kuwa Bikira Maria ni mwombezi wetu. Ni wapi kwenye Biblia ilikosemwa hivyo? Badala yake Biblia inasema kuwa mtu akifa anakuwa hajui CHOCHOTE tena kinachoendelea huku duniani. Hawezi kuwa mwombezi. Mwombezi ni MMOJA TU - Yesu Kristo.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-39977899739557086602014-03-17T17:35:28.608+03:002014-03-17T17:35:28.608+03:00Mpendwa wangu, kitu chochote kilicho kinyume na Bi...Mpendwa wangu, kitu chochote kilicho kinyume na Biblia ni kosa. Haijalishi anayefanya ni mlokole, mlutheri au mkatoliki. Katiba pekee ya wokovu wetu ni Biblia. Suala la madhehebu ni jambo tu la kuturahisishia kukutana na kufundishana na kusaidiana ktk safari yetu ya kuelekea mbinguni.

Kama wewe uko Katoliki na unaishi sawasawa na Biblia, utakwenda mbinguni tu. Kama wewe ni mlokole (hata kama ni mchungaji au askofu) na unaishi kinyume na Biblia hauendi mbinguni.

Ukisikia walokole haina maana kuwa ndani yake hakuwa waasi. Wapo. Tena wanaweza kuwa ni wachungaji kama unavyosema. Lakini uasi huo hautokani na kuwa walokole. unatokana na kukosa utii kwa neno la Mungu. Na waasi wako kila mahali. hata Kanisa Katoliki si wapo?

Tatizo kubwa ninaloliona mimi si kuwapo kwa waasi. Tatizo ni pale mambo yasiyo ndani ya Biblia yanapofundishwa na watumishi au na kanisa kana kwamba ni maagizo ya Mungu.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-54271882712829212912014-03-17T17:26:39.588+03:002014-03-17T17:26:39.588+03:00Asante kwa maoni yako ndugu. Ni kweli kuna wanaoji...Asante kwa maoni yako ndugu. Ni kweli kuna wanaojiita watumishi na wanatumia Neno la Mungu kwa faida yao. Na jambo hilo ni dhambi kwa sababu linakwenda kinyume na kile kilichoandikwa kwenye Biblia. Kwa hiyo, hata wao nao hakuna anayewaunga mkono.

Sasa, kama tukiwasema kuwa wako kinyume na Biblia, tutakuwa tunafanya usengenyaji? Kwa nini unadhani kusema kuwa kusema suala la Bikira Maria ni usengenyaji?

Basi tusaidie kulingana na Maandiko (Biblia) uhalali, kwa mfano, wa kumwita Bikira Maria mwombezi wetu. Jambo hilo liko wapi kwenye Biblia?

Yesu alisema wazi kuwa: Mimi ndimi njia na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Je, maneno "kwa njia ya mimi" yanamjumuisha na Bikira Maria?James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.com