tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post8771079682269850420..comments2024-03-06T08:24:59.824+03:00Comments on Moslems to Jesus: Maswali yangu kwako MwislamuJames Johnhttp://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-61431771500576662992014-07-06T16:39:38.466+03:002014-07-06T16:39:38.466+03:00Nimefatilia mjadala huu kwa muda mrefu sana, waung...Nimefatilia mjadala huu kwa muda mrefu sana, waungwana ningependa nipate namba ya Ibrabura, mafundisho yake y ukweli. happysteven007@hotmail.comAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-63103543146083179512014-03-07T21:45:10.325+03:002014-03-07T21:45:10.325+03:00Swali la 7 umejibu: yaan kilichoitajika ni kuuondo...Swali la 7 umejibu: yaan kilichoitajika ni kuuondoa kabisa ukafir, kwan una hira sana na wanamatendo machafu sana kutokana na mila zao za kipagani. mf. mavaz, vyakula vya halam nk. so kama kuna nchi inaendeshwa kiislam dhair kuwa ukristo hautakiwi kabisa. watanzania tumeshindwa coz ndo tumetawaliwa ila ipo siku allah atatupa uwezo wa na atatunusuru insha allah. nimeamua kujibu kwa ufupi ila utakapoendelea tutajibizana kwa maandiko.

Oscar acha kunichekesha. Ndiyo maana nimekuambia kuwa uislamu ni ‘utopian life’. Kwamba eti wasio waislamu, yaani makafiri, wana matendo machafu sana. Quran inasema hivi: “Wale wasioamini miongoni mwa Watu wa Kitabu na wapagani wataungua milele katika moto wa jehanamu. Hao ni waovu kuliko viumbe wote. Lakini wale wanaoikumbatia imani na kutenda mema ni waadilifu KULIKO VIUMBE WOTE.” (Al-Bayyina 98:6-7).

Hebu niambie; unaelewa nini na maneno KULIKO VIUMBE WOTE? Maneno haya yanaonyesha kuwa Quran ni bora zaidi au Biblia ni bora zaidi? Kama swali hili ni gumu kwako, niulize tu nitakwambia jibu lake.James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-90384697827645521942014-03-07T21:43:48.863+03:002014-03-07T21:43:48.863+03:00Swali la 5 umejibu: kama kafir akiamua kutenda dha...Swali la 5 umejibu: kama kafir akiamua kutenda dhambi binafsi bila kuiletea athar dini ya allah haina shida tutamuelimisha tu, ila kama anafanya njama za kuusambaratisha uislam, tunabidi tumsambaratisha ili kuinusuru dini ya allah nasi tukawe na lakujibu insha allah. makafir siku zote hupanga njama za kuidhofisha uislam.

Mimi nimekupa mfano wa familia. Nilitegemea baada ya maelezo yako ungehitimisha kwa kuniambia pia hivi, “Kama mwanangu akija kuniambia ameua ndugu yake ambaye hataki kunitii mimi mzazi wake, nitafurahi kwelikweli.” Au siyo Oscar. Na kama hufanyi hivyo, basi maana yake ni moja tu – wanadamu wana hekima kuliko Allah!

Ndugu, uislamu ni “utopian” life; yaani ni maisha ya kufikirika tu yasiyo na uhalisia wowote. Na ndiyo maana inabidi uwe na hasira, chuki na ukatili ili kuyatekeleza – kwani katika hali ya kawaida hayatekelezeki.

Swali la 6 umejibu: allah katuambia kuwa tukiona maovu yanafanyika, njia tatu za kuyaondoa.1. kulitoa kwa mkono, 2. kulikemea au ukishindwa kabisa basi kulichukia. acha watekeleze amri yake muumba na sio yako.

Nashukuru kwa kuwa unadhihirisha wazi kuwa neno la Allah halina uwezo wa kubadili hali ya mambo ndiyo maana anahitaji sana support ya mkono wa mwanadamu (kulitoa kwa mkono). Sasa kama hivyo ndivyo, wa nini Mungu kama huyo?

Hebu pata kionjo kidogo juu ya Mungu wa kweli, Oscar: “Je! Neno langu si kama moto? Asema Bwana; na kama nyundo ivunjayo mawe vipande vipande?” (Yeremia 23:29).

Huyu ndiye Mungu wa kumfuata. Neno tu! Neno tu! Neno tu! Panga la nini? Chuki ya nini? Hasira ya nini?

Uislamu upo kulingana na ‘the law of the jungle’, yaani ‘survival for the fittest’. Maana yake ni kuwa unajitahidi kupanda juu ya wengine kadiri uwezavyo ili wewe uende juu (peponi) na wao waende chini (kuzimu). Kwamba eti unaua kafiri halafu unapata swawabu na kuingia peponi!!!

Hapo juu ulisema kuwa haiingii akilini kwamba mtu aadhibiwe kwa dhambi za mwingine. Kama unatafuta amacho hakiingii akilini, basi ndio hiki haswaa!James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-44692614548085238082014-03-07T21:41:15.583+03:002014-03-07T21:41:15.583+03:00Swali la 2 umejibu: kwanza huwa mnafanya makosa sa...Swali la 2 umejibu: kwanza huwa mnafanya makosa sana kumuomba yesu au kutubia kwa mapadre kanisani, kwan anayepaswa kutubiwa ni muumba peke yake. pia sheria za kiislam hazitekelezeki hapa tanzania kwa kuwa sheria za kikafir zimetubana na hivyo kumuachia muumba mwenyewe aukumu. pindi tutakapo tekeleza japo moja ya kuua basi tunaishia jera. na ndio maana tumeomba mahakam ya kadhi ww mwenyewe unaona mpaka leo bado hatujapewa.

Mimi sijauliza kuhusu Tanzania. Kwani siku mkipata hiyo mahakama ya kadhi ninyi ndio mtakuwa nchi ya kwanza ya kiislamu? Kama unadhani ninyi hamfanyi hivyo kwa vile mnabanwa na sheria za kikafiri kama unavyodai, basi onyesha ni kwenye nchi gani ya kiislamu hapa duniani – iwe ni Iran, Saudi Arabia, n.k., ambako wazinzi hujipeleka wenyewe wakapigwe mawe?

Na tena, kwani kama ikitokea mkawa na hizo sheria zisizo za kikafiri, je, iko sheria inayokutaka ukajisalimishe kwa wapiga mawe pindi unapozini?

Swali la 3 umejibu: nafikir linafanana na la pili, sheria ya kikafir imetunyima uhuru.

Hapa pia hujajibu swali kwa kusingizia kuwa kunyimwa uhuru (typical Islamic spirit, eh Oscar? – kulalamika na kunung’unika). Kama ilivyo kwa hilo swali lililotangulia, onyesha mfano kutoka kwenye nchi za kiislamu – si zipo? Tueleze kuwa Saudi Arabia mtoto akiiba mboga, baba au mama yake anampiga viboko mia; au hata hamsini?

Swali la 4 umejibu: hakuna siku ambayo sio ya toba, kila siku na kila muda wa swala kwa swala tano kwa siku na swala za usiku huwa tunafanya toba. ila tumeutukuza mwezi wa ramadhani kama alivyo utukuza muumba wetu. ni sawa na wakristo kipindi za kwaresma au majilio. hapa huna swali ila unajiurudisha tu

Nianze kwa nukuu hii: ” Abu Hurairah ameeleza kuwa Mtume wa Allah amesema: Mwenye kufunga Ramadhani akiwa na imani na akawa na matumaini ya kupata malipo kutoka kwa Allah DHAMBI ZAKE ZOTE ZILIZOPITA husamehewa, Na mwenye kusimama kwa swala (tarawehe) katika mwezi wa Ramadhani akiwa na imani na matumaini ya kupata malipo (kutoka kwa Allah), DHAMBI ZAKE ZOTE ZILIZOPITA zitasamehewa. Na yule atakayesimama (kwa swala) katika usiku uliobarikiwa (Lailatul-Qadri) akiwa na imani na matumaini ya kupata malipo kutoka kwa Allah (s.w.) DHAMBI ZAKE ZOTE ZILIZOTANGULIA zitasamehewa. (Bukhari na Muslim).”

Sasa wewe Oscar unasema kuwa kila siku ni siku ya toba, je, maana ya DHAMBI ZILIZOPITA au ZILIZOTANGULIA ni nini katika nukuu hiyo hapo juu?James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-60868816339093193722014-03-07T21:38:24.576+03:002014-03-07T21:38:24.576+03:00Swali la 1 umejibu: kila mtu ataubeba mzigo wake. ...Swali la 1 umejibu: kila mtu ataubeba mzigo wake. hakuna aliyeletwa duniani kuja kuadhibiwa kwa ajili ya dhambi ya wengine. haiingii akilini kwamba raha ya kuzini na mwanamke uipate wewe james , kisha yesu aje ateswe. kwetu sisi mtu kwanza anatakiwa ajue kuwa katenda dhambi, ajijutie yeye mwenyewe, amuombe allah

Nianze kwa kukushukuru Oscar kwa kujitokeza kujibu maswali haya. hii inatusaidia kupata ufahamu juu yay ale tusiyoyajua. Lakini pia niseme kuwa jibu lako halina ukweli wala uhalisia.

Hivi tuseme hujawahi kusikia kuwa mtu amekamatwa na polisi na anatakiwa kwenda rumande lakini kama ikipatikana dhamana anaachiwa? Je, kumlipia mtu dhamana ni nini kama si kubeba kosa lake.

Kwa watu au familia zinazotawaliwa na upendo hili ni jambo la kawaida sana. Upendo hutuwezesha kubeba makosa ya wengine. Of course upendo si msamiati ulio katika lugha ya Allah ndiyo maana unapata shida na ushangao. Na hilo linaeleweka.

Mungu wa kweli, yaani Yehova, ni Baba yetu (na pia Baba yako japo humtaki). Sisi ni sehemu ya familia yake. Anatupenda na yuko tayari kutusaidia katika madhaifu yetu. Ndiyo maana Bwana Yesu anasema: “Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.” (Mathayo 11:28).

Yakriban miaka 700 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo, Mungu kupitia nabii Isaya alisema yafuatayo [zingatia zaidi maneno niliyoandika kwa herufi kubwa]:

Maana alikua mbele zake kama mche mwororo, Na kama mzizi katika nchi kavu; Yeye hana umbo wala uzuri; Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani. Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu. HAKIKA AMEYACHUKUA MASIKITIKO YETU, AMEJITWIKA HUZUNI ZETU; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, ALICHUBULIWA KWA MAOVU YETU; ADHABU YA AMANI YETU ILIKUWA JUU YAKE, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; NA BWANA AMEWEKA JUU YAKE MAOVU YETU SISI SOTE. Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake. Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; ALIPIGWA KWA SABABU YA MAKOSA YA WATU WANGU. Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake. Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; UTAKAPOFANYA NAFSI YAKE KUWA DHABIHU KWA DHAMBI, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake; Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake; Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; NAYE ATAYACHUKUA MAOVU YAO. (Isaya 53:2-11).

Huyu ndiye Baba anayeijali familia yake. Lakini Allah yeye anasemaje? Piga! Ua! Chinja! Kata vichwa! Kata mikono! Baka wanawake wao! Halafu anawangoja na mizani yake ya kupimia matendo mema na mabaya. Na tuseme hayo hapo juu ndiyo matendo mema yenyewe, siyo?

Anyway, nihitimishe tu kwa kusema, SI KWELI HATA KIDOGO kwamba mtu mwingine hatakiwi kuteseka kwa ajili ya mwingine. [Ila kwa Allah hiyo ni sawa kabisa].James Johnhttps://www.blogger.com/profile/09348983297574017606noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5505125342499394790.post-32305223995865911482014-03-05T16:05:55.423+03:002014-03-05T16:05:55.423+03:00kaka james, una maswali mengi sana. ngoja nikurupu...kaka james, una maswali mengi sana. ngoja nikurupuke na maswali yako
1. swali la kwanza:
kila mtu ataubeba mzigo wake. hakuna aliyeletwa duniani kuja kuadhibiwa kwa ajili ya dhambi ya wengine. haiingii akilini kwamba raha ya kuzini na mwanamke uipate wewe james , kisha yesu aje ateswe. kwetu sisi mtu kwanza anatakiwa ajue kuwa katenda dhambi, ajijutie yeye mwenyewe, amuombe allah msamaha na kisha anuie kutokurudia dhambi hiyo na kutekeleza ibada zote alizoagizwa na allah.

swali la pili:
kwanza huwa mnafanya makosa sana kumuomba yesu au kutubia kwa mapadre kanisani, kwan anayepaswa kutubiwa ni muumba peke yake. pia sheria za kiislam hazitekelezeki hapa tanzania kwa kuwa sheria za kikafir zimetubana na hivyo kumuachia muumba mwenyewe aukumu. pindi tutakapo tekeleza japo moja ya kuua basi tunaishia jera. na ndio maana tumeomba mahakam ya kadhi ww mwenyewe unaona mpaka leo bado hatujapewa.

swali la tatu:
nafikir linafanana na la pili, sheria ya kikafir imetunyima uhuru.

swali la nne:
hakuna siku ambayo sio ya toba, kila siku na kila muda wa swala kwa swala tano kwa siku na swala za usiku huwa tunafanya toba. ila tumeutukuza mwezi wa ramadhani kama alivyo utukuza muumba wetu. ni sawa na wakristo kipindi za kwaresma au majilio. hapa huna swali ila unajiurudisha tu

swali la tano:
kama kafir akiamua kutenda dhambi binafsi bila kuiletea athar dini ya allah haina shida tutamuelimisha tu, ila kama anafanya njama za kuusambaratisha uislam, tunabidi tumsambaratisha ili kuinusuru dini ya allah nasi tukawe na lakujibu insha allah. makafir siku zote hupanga njama za kuidhofisha uislam.

swali la sita
allah katuambia kuwa tukiona maovu yanafanyika, njia tatu za kuyaondoa.1. kulitoa kwa mkono, 2. kulikemea au ukishindwa kabisa basi kulichukia. acha watekeleze amri yake muumba na sio yako.

swali la saba:
yaan kilichoitajika ni kuuondoa kabisa ukafir, kwan una hira sana na wanamatendo machafu sana kutokana na mila zao za kipagani. mf. mavaz, vyakula vya halam nk. so kama kuna nchi inaendeshwa kiislam dhair kuwa ukristo hautakiwi kabisa. watanzania tumeshindwa coz ndo tumetawaliwa ila ipo siku allah atatupa uwezo wa na atatunusuru insha allah.

nimeamua kujibu kwa ufupi ila utakapoendelea tutajibizana kwa maandiko.
Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08959029992802277644noreply@blogger.com