Showing posts with label jino kwa jino. Show all posts
Showing posts with label jino kwa jino. Show all posts

Thursday, October 19, 2017

Mafarisayo na wayahudi walishika sharia (Torati)


 

Yesu alipokuja, Wayahudi – wakiwamo Mafarisayo, Masadukayo na watu wa kawaida – waliamini torati, kwa mfano jino kw ajino, jicho kwa jicho, kupiga mawe wazinzi, nk, kama ambavyo Waislamu wanaamini leo.

Lakini cha ajabu, Yesu (ambaye waislamu wanadai wanafuata aliyofuata na kwamba alikuwa mwislamu kama wao) alisema hivi kuhusu maandiko: