Yesu alipokuja,
Wayahudi – wakiwamo Mafarisayo, Masadukayo na watu wa kawaida – waliamini
torati, kwa mfano jino kw ajino, jicho kwa jicho, kupiga mawe wazinzi, nk, kama
ambavyo Waislamu wanaamini leo.
Lakini cha ajabu, Yesu (ambaye waislamu wanadai wanafuata aliyofuata na kwamba alikuwa mwislamu kama wao) alisema hivi kuhusu maandiko:
Lakini cha ajabu, Yesu (ambaye waislamu wanadai wanafuata aliyofuata na kwamba alikuwa mwislamu kama wao) alisema hivi kuhusu maandiko: