Hii si video ya kidini. Haielezei
Ukristo wala Uislamu. Lakini ni video inayoonyesha maisha ya watu wa Irani
ambayo ni nchi ya Kiislamu. Kwa jinsi ambavyo Uislamu unajinadi mbele ya
ulimwengu, mtu ungefikiria kwamba watu wa nchi kama hizo wana furaha na utawala
wa kidini wa nchi zao. Lakini je, hivyo ndivyo ilivyo?