Afshin Javid alikuwa ni askari wa Hezbollah ambaye aliyatoa maisha yake kikamilifu kwa ajili ya Allah. Katika maisha yake yote, alijifunza kumtii Allah na alikuwa tayari kufanya lolote, ikiwa ni pamoja na kufa kwa ajili ya Allah.
Lakini baada ya kukutana
uso kwa uso na Bwana Yesu, kila kitu kilibadilika. Sikiliza ushuhuda wake huu
wenye nguvu sana, ambao si tu kwamba utakutoa
machozi, kama yeye mwenyewe anavyoeleza kwa machozi mengi, bali pia utajua
jinsi Bwana Yesu alivyo Mungu Mkuu na wa kweli ambaye, kila anayemtafuta kwa
moyo wa kweli, anamwona.
Hii ni sehemu ya pili ya
ushuhuda wake. Ili kupata picha kamili, tafadhali anza kwa kusikiliza au kusoma
ushuhuda wake, sehemu ya kwanza HAPA.