Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake.
Vilevile anasema:
Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo
kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. (Yunus
10:94).
Anasema kuwa aliteremsha vitabu kabla
ya quran.
Tunajua kuwa anadai kwamba vitabu hivyo
ni Taurati, Zaburi na injili.
Tuchukulie kwamba anachosema ni kweli.