Uislamu (au tuseme Muhammad), anadai
kuwa Ibrahimu ndiye aliyejenga Kaabah.
Mtu anapochunguza kwa makini jambo
hili, ni vigumu sana kuamini kuwa Uislamu uko sahihi. Badala yake mtu
unasukumwa kuwaza kwamba yamkini Muhammad alianzisha hadithi kama hizi ili
kujipa uhalali wa kuwa mtume.
Hebu tutazame hadithi ifuatayo kisha tutajihoji wenyewe maswali kadhaa: