Tarehe 21 Desemba 2012 niliuliza
maswali yafuatayo HAPA. Lakini umepita mwaka mzima bado sijapata jibu japo kwa
swali hata mojawapo tu! Ina maana maswali haya hayana majibu kutoka kwenye
Quran au labda ndugu zangu Waislamu hawajayaona? Of course mimi binafsi najua
kuwa hawawezi kuyajibu kwa sababu Uislamu hauna majibu juu ya masuala ya
rohoni.
Hata hivyo, ningependa niyaulize kwa mara nyingine tena
hapa tunapoanza mwaka huu wa 2014 ili iwe changamoto kwa Mwislamu uwaye yote –
ujihoji, ujiulize na ujipime kule uendako.