1. Shuhuda za Waislamu walioijua kweli na kumkimbilia
Mwokozi Yesu Kristo; na sasa wanafurahia uhakika walio
nao ya kwamba wao ni wana wa Mungu Aliye Hai; na
kwamba HAKIKA wanakwenda Mbinguni. Bofya HAPA.
2. Hivi ni kweli kwamba Qur'an haisemi chochote juu ya
Uungu wa Yesu Kristo? Mbona wengine tukiangalia humo
ndani tunakuta kwamba Qur'an inamwonyesha Yesu kuwa
ni Mungu? Sina haja ya kukwambia. Soma mwenyewe.
Bofya HAPA.
Ubarikiwe mtumishi kwa kuweka maarifa.
ReplyDeleteAmen Goodluck. Ubarikiwe nawe pia
DeleteBarikiwa sana kadiri ya Mwanzo 12
ReplyDeleteAmen. Nawe pia Innocent ubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristo.
DeleteYESU ANATUMA MALAYKA.
ReplyDeleteQuran Inajaribu Kusema Jambo Hapa.
Angalizo Quran Hatupaswi Kukiamini Kama Wakristo Ila Kinatumiwa Kama Kitabu Cha Rejea.
Inasema.
Quran Yenye
Sura 114
Juzuu 30
aya 6,236
katika Juzuu 17,Suratal Al-Hajj(22:75 Quran)
inasema "Mwenyezi Mungu Huchagua Mitume Miongoni Mwa Malaika na Miongoni Mwa Binadamu.kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mwenye Kusikia {na} Mwenye Kuona".
Quran Yasema Mwenyezi Mungu Anachagua Mitume miongoni Mwa Malaika Na Miunguni Mwa binadam.
SASA TUTAZAME BIBLIA YASEMA NINI?
YESU ANATUMA MITUME HAPA "28:19-20 MATHAYO"
BASI ENENDEN MKAWAFANYE MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI MKIWABATIZA KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU.
20.na KUWAFUNDISHA KUYASHIKA YOTE NILIYOWAAMURU NINYI NA TAZAMA,MIMI NIPO NANYI NA TAZAMA, MIMI NIPO PAMOJA NANYI SIKUZOTE, HATA UKAMILIFU WA DAHARI"
YESU ANATUMA MALAIYKA.
22:16 Ufunuo.
Inasema "MIMI YESU NIMEMTUMA MALAIYKA WANGU KUWASHUHUDIA NINYI MAMBO HAYO KATIKA MAKANISA. MIMI NDIMI NILIYE SHINA NA MZAO WA DAUDI ILE NYOTA YENYE KUNG'AA YA ASUBUHI"
KAMA YESU AMETUMA MITUME PIA MALAIYKA KWANINI WATU WANAPINGA UUNGU WA YESU??.
WaTafakarii waChukue Hatua!!!
wakristo manaenda motoni, mnamwita yesu mtoto wa mungu.....
ReplyDelete