Friday, November 10, 2017

Hivi kweli Allah anajua maana ya neno “Israeli”?
Ibrahimu alimzaa Isaka.
Isaka alikuwa na wana wawili – Esau na Yakobo.

Kwa sababu ya  hila aliyofanyiwa Esau ya kunyang’anywa mbaraka, alikasirika sana akapanga kumwua Yakobo pale baba yao atakapokufa.

Imeandikwa katika Mwanzo 27:41