Mungu
hutufunulia mambo mbalimbali kupitia watumishi wake mbalimbali ili kutujulisha
yale yaliyopo na hata yajayo; katika ulimwengu huu na pia ule ujao. Wapo watu
wengi ambao Mungu amewatumia kutufahamisha juu ya mbingu na hata juu ya kuzimu.
Bo Ra Choi
ni mchungaji kutoka Korea ya Kusini. Mchungaji huyu amekuwa akionyeshwa maono
mbalimbali na Mungu kuhusu mambo ya ulimwengu wa roho. Mojawapo ya maono
aliyoonyeshwa yanamhusu Muhammad, mtume wa Uislamu.
Je, Muhammad
yuko wapi hivi leo? Katika video hii, mchungaji Bo Ra Choi anafikisha kwetu
ujumbe kwa namna ambavyo alisikizishwa Muhammad akisema kule aliko sasa.
Kwa maana
nyingine, ananukuu moja kwa moja maneno ya Muhammad ili kwamba iwe ni kama vile
tunamsikia Muhammad akizungumza.
Tafadhali
zikiliza kwa makini video hii, kisha utaupata ujumbe wa Mungu anaouleta kwetu
kupitia mtumishi wake, Mchungaji Bo Ra Choi.
........................
Lakini
anachosema Muhammad humo ni nini hasa?
Kifuatacho ndicho
anachokisema Muhammad humo
kwa kilio kikubwa:
...........................
kwa kilio kikubwa:
...........................
Mnajua mimi ni
naniiiiiii?
Mimi ni Muhammad
Nilitenda dhambi kubwa sana
Nilifanya makosa makubwa
mno
Nilikuwa mjinga
Nimetenda dhambi kubwa sana
Watu wengi sana wamekuwa
wakitumbukia kuzimu kwa sababu yangu.
Nilitenda uhalifu mkubwa
kuliko wote
Nilitenda dhambi kubwa
kuliko zote
Nilitenda makosa
Nilitenda makosa
Yesu, nilifanya makosa.
Nilifanya hivyo kwa sababu
nilikuwa maskini sana.
Nilitaka kuwa kiongozi wa
watu wengi na nilitaka kuwa kama Yesu.
Nilifanya uhalifu mwingi
sana wa kiovu
Niliua watu wengi sana
Msijikusanye pamoja
Mtakufa kama mkikusanyika
kwa ajili yangu, Muhammad.
Tawanyikeni! Msijikusanye
pamoja!
Kama mkijikusanya pamoja,
shetani atawatumia!
Shetani atawatumia zaidi
kama mkikusanyika kwa ajili ya Muhammad.
Bila ya Yesu, wote
wanaishia kuzimu
Kuna joto kali!
Kuna joto kali!
Kuna joto kali!
Nitoe humu!
Nitoe humu!
Hakuna pepo ambayo
mnaifikiria.
Kuna mbinguni na kuzimu tu.
Mafundisho hayo yamesambazwa
kwa uongo.
Uislamu umebadilishwa.
Haiwezekani!
Msipoteze maisha yenu namna
hiyo.
Hakuna pepo ambayo Waislamu
wanaiamini.
Mimi sikuzungumza juu ya
mafundisho hayo ya uongo.
Yamebadilishwa.
Someni Biblia.
Inaonyesha namna ya kwenda
mbinguni.
Hakuna mbingu katika
Uislamu.
Mimi sikuandika theolojia
hizo za uongo.
Mambo hayo yaliandikwa na
watu waliokuwa wakijaribu kuniiga mimi.
Mambo hayo yamekuwa ni
Biblia ya Uislamu ambayo inadhoofisha neno la Yesu.
Haiwezekani!
Sikuyaandika hayo!
Tafadhali, nisikilizeni!
Niko hapa kuzimu.
Niko hapa kwenye moto wa
kuzimu.
Ninateseka kwa adhabu hii
kubwa sana kwa sababu shetani alinitumia.
Msitupe maisha yenu kwa
shetani!
Msiwe watii kwangu mimi,
Muhammad.
Hiyo ni njia ya kwenda
kuzimu.
Shetani atawatumia.
Tokeni humo kwenye Uislamu.
Mimi sikutaka haya.
Nilitaka tu kuwa mtawala wa
taifa.
Lakini mambo yalienda
vingine.
Hiki sicho nitakacho.
Sitaki vita.
Nilianzisha mapigano mengi
ili kuunda taifa langu mwenyewe.
Mnajua ni kwa nini?
Ni kwa sababu nilikuwa
maskini sana nilipokuwa mtoto.
Nilianzisha vita nyingi
sana ili kuunda taifa langu.
Nilitaka tu kuongeza nguvu
zangu ili kushinda vita.
Kwa nini Uislamu
umebadilika hivyo?
Kama kweli mnataka kuwa
watii kwangu,
Tawanyikeni na
msiwasikilize viongozi wenu (wa dini).
Wanawaongoza kuelekea
kwenye njia mbaya sana.
Wanaharibu
maisha ya watu.
…………………………………….
Tafakari
Pima
mambo
Chukua
hatua
