Ndugu zetu Waislamu wanadai kuwa Mungu
wa Yesu ni Allah wao wanayemwabudu.
Mojawapo ya utetezi wao ni kuwa jina
“Allah” ndio lilelile aliloita Yesu pale aliposema “Eloi, Eloi, lama sabakthani”.
Yaani kwa vile “Eloi” inakaribiana
kimatamshi na “Allah” basi ndio kwao ni sababu kuwa Allah ndio Eloi.