Bwana Yesu alisema: Msidhani
ya kuwa nalikuja kutangua torati au manabii, la, sikuja kutangua, bali
kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,
yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.(Mt.
5:17-18). Ni nini maana ya andiko hili?