Tuesday, March 27, 2018

Muhammad ni "mwana wa uharibifu" (Banu Hashim)



Tena na tena nimekuwa nasisitiza kwamba Mungu wa Biblia SIO mungu wa quran hata kidogo. Ni wawili tofauti.

Mifano ifuatayo inathibitisha hilo:

Mungu wa Biblia anasema: Namtuma Mwanangu KUOKOA ulimwengu
Mungu wa quran anasema: Msiamini hilo. Mungu hana mwana.

Ukipenda kuona utaona - ni uamuzi wako tu


Ibilisi akitupwa chini pamoja na majini yake

Kwenye Biblia katika kitabu cha Isaiah 14:12 tunasoma:

Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

Aya hii inamwongelea Lusifa (ibilisi/shetani) jinsi ambavyo zamani alikuwa juu lakini akaangushwa chini kwa sababu ya uovu wake.