Moslems to Jesus
Tafakari. Jiulize. Jihoji. Kweli imo ndani yako.
Tuesday, March 27, 2018
Ukipenda kuona utaona - ni uamuzi wako tu
Ibilisi akitupwa chini pamoja na majini yake
Kwenye Biblia
katika kitabu cha Isaiah 14:12 tunasoma:
Jinsi
ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi
ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
Aya
hii inamwongelea Lusifa (ibilisi/shetani) jinsi ambavyo zamani alikuwa juu
lakini akaangushwa chini kwa sababu ya uovu wake.
Friday, November 10, 2017
Hivi kweli Allah anajua maana ya neno “Israeli”?
Ibrahimu alimzaa
Isaka.
Isaka alikuwa na wana
wawili – Esau na Yakobo.
Kwa sababu ya hila aliyofanyiwa Esau ya kunyang’anywa
mbaraka, alikasirika sana akapanga kumwua Yakobo pale baba yao atakapokufa.
Imeandikwa katika Mwanzo 27:41
Subscribe to:
Posts (Atom)