Ndugu zetu Waislamu
wanasikitisha sana; tena sana!
Katika Sefania 3:9 imeandikwa:
Maana hapo ndipo nitakapowarudishia
mataifa LUGHA ILIYO SAFI, wapate kuliitia jina la Bwana, wamtumikie kwa nia
moja.
Ndugu zetu wanadai huo ni utabiri wa
lugha ya Kiarabu ambayo ndiyo inayotumiwa kwenye Uislamu. Duh!